onsdag, oktober 13, 2010

Bwana asifiwe!


"Baaba, wa mbinguni, hakuna kama wewe"

"Kama sio wewe ningekuwa wapi mimi,
kama sio wewe ningekuwa wapi mimi?
Umejawa na rehema na neema teleeh"

"Najua Bwana anatengeneza njia,
anatengeneza njia kwa ajili yangu"

"Tunasonga mbele zako,
Bwana wamaBwana.
Twahitaji neema zako,
Bwana, wamaBwana"

"Natamani kufanana nawe
Natamani kufanana nawe
Siku zote za maisha yangu
Siku zote za maisha yangu"